Sunday, October 12, 2008


BACK 'N' DAYS
Mr II na Lady JD wakitoa burudani enzi hizo kumbuka hawa ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo mwanzo katika medani ya Bongo fleva, Lady JD alianza kuimba na kundi la AfroReign na humo kulikuwa na Bonny Harmony, Nature Peace nawengine wengi enzi hizo, Mr II alitokea mbeya na kuja kushiriki katika tamasha la Yo Rap Bonanza II iliyofanyika jengo la Empress Cinema na alipanda jukwaani na kundi la Da young Mob la temeke, Mr II, Sugu, II Proud yote ni majina yake ukipenda muite Real Name Joseph Mbilinyi kwa sasa yuko USA anafanyakazi na anajishughulisha na muziki.

No comments: